Soka saa 24!

Kidato cha nne wamalizia mtihani Maisha Club

kiba_aslay_maisha_face
Mwanamuziki Aslay jana katika ukimbi wa New Maisha Club, alipanda jukwaani lakini alisema hakuwa sawa na ndiyo maana hakuweza kutoa burudani ambayo watu wamekuwa wakiizoea kutoka kwake. Usiku huo ambao wanafunzi walikuwa wakifurahia kumaliza mtihani wa kidato cha nne, uliofanyika mwezi huu.


Jukwaa lilipambwa na wasanii Ali Kiba, Abdu Kiba, Dogo Aslay, Tox na wasanii wengine wa kidato cha nne.

Kiba_aslay_4m_4
Wasanii wa kidato cha nne, wakiwa wametulia baada ya kushuka jukwaani
kiba_aslay_abdul_kiba
Ali Kiba na Abdul Kiba wakisaidiana kulitikisa jukwaa
kiba_aslay_jukwaani
Tox akiwa na Ali Kiba katika wimbo wa Sex Lady
kIBA_ASLAY_maisha
Dogo Aslay akiimba huku akiwa amepooza kidogo…
kiba_aslay_mtu_akimtuza

Dogo aslay akitunzwa….

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW