Burudani

Kids Care waingia Studio

yatima_fela_face
Kiongozi na kundi la Tmk Wanaume na kikundi cha Mkubwa na Wanawe Saidi Fela ‘Mkubwa Fella’ amesema kwa sasa anawasaidia watoto yatima kutoka katika kituo cha Kids Care kilichopo Bagamoyo kukamilisha albamu yao ya kwanza.


Kikundi hicho kina watoto zaidi ya Ishirini, kikiwa na makazi yao Kalage huko Bagamoyo, kinajihusha zaidi na kazi za kisanaa za kuimba nyimbo za Injiri za watoto na nyimbo za asili iilikufikisha ujumbe wao kwa jamii. Mafunzo yao ya nyimbo hizo zinatolewa  chini ya mwalimu wao Chambuso na kiongozi wao Diana.

Watoto hao tayari walishatoa nyimbo moja iliyoitwa Jambo, lakini kwa sasa wanajiandaa kunja na albamu yenye nyimbo tano, mbili zikiwa za Injiri na tatu za watoto

yatima_fella_group
Kati ya watoto wote hawa ndiyo waimbaji wakuu wa nyimbo za Injiri
yatima_fella_Diana
Diana Alex, akiingiza sauti yake katika wimbo wao mpya.
yatima_fella_gitaa
Mpigagitaa wa Poteza Record, inayomilikiwa na Mkubwa Fella na mwimbaji wa Bendi ya Mkubwa na Wanawe
yatima_fella_mtoto

Msanii Abdaham Julius akiiingiza sauti yake.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents