Habari

Kifahamu kiburi cha Liam Payne kumnunulia Wizkid champagne ya tshs bil 2.9 kwenye birthday yake

Unaweza kununua champagne ya kunywa siku moja tu yenye thamani ya paundi milioni 1.2 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.9?

image.aspx_

Kwa Liam Payne wa kundi la Uingereza la One Direction, hizo ni fedha za njugu tu na ndio maana hakuona hatari kumnunulia mshkaji wake Wizkid wa Nigeria champagne aghali zaidi duniani, Goût de Diamants aka ‘A Tribute to Luxury’.

Lakini kuna sababu kubwa ya kwanini kijana huyo aliamua kutumia kiasi hicho kikubwa cha fedha. Mwaka jana pekee Liam Payne aliingiza paundi milioni 5. Mwaka huu Kundi lake, One Direction limetajwa kwenye orodha ya mamilionea vijana walio chini ya miaka 30.

0One-Direction-Wallpaper-one-direction-32886087-1024-768
One Direction

Mwaka jana pekee, walipiga show zilizouza 60 na kuingiza paundi milioni 11.8.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents