Burudani

Kifungo chamnyima DMX kuwaona watoto wake

Jaji wa mahakama moja nchini Marekani amekataa kutoa ruhusa kwa rapper DMX aliyepo kifungo cha ndani kwa madai kuwa barua ya ombi imechelewa kufika huku sababu nyingine ikitajwa kuwa wanahofu anaweza kutumia dawa za kulevya.

Ruksa ya DMX iliomba kupitia kwa mwanasheria wake Murray Richman ambaye aliandika barua ya kutaka mahakama iridhie msanii huyo kusafiri wiki ya kesho kwenda maeneo ya Atlanta, Vegas, Philly, na Los Angles kwa ajili ya kuwaona watoto wake 15.

Hata hivyo ombi hilo limekataliwa huku ikidaiwa kuwa wemechelewa kuwasilisha ombi lao mahakamani na walitakiwa kuwasirisha wiki moja kabala ya kupanga safari yake.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents