Aisee DSTV!
SwahiliFix

Kikosi cha Sevilla FC chatua nchini kibabe usiku wa jana, mapokezi yake usipime uwanja wa ndege wa JK Nyerere (+video)

Kikosi cha klabu ya Sevilla FC kimewasili nchini hapo jana usiku na kupokelewa kwa shangwe kubwa katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere kupitia kikundi cha ngomo kilichopo chini ya msanii Mrisho Mpoto.

Sevilla wamewasili hapo jana usiku siku ya Jumanne majira ya saa 1:00 za usiku na kupokewa na wenyeji wao ambao ni kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa huku wakiwa hapa nchini wakitarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa wapya Simba SC siku ya Alhamisi ya tarehe 23 mwezi huu wa Mei mwaka 2019.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW