Michezo

Kikosi cha Simba Vs Gendarmerie hiki hapa mfumo ni 5-4-1

Klabu ya Simba yaanika kikosi chake kitakacho ingia uwanjani hii leo kuivaa Gendarmerie katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika CAF.

Katika mchezo wa kwanza uliyopigwa jijini Dar es Salaam Simba SC ilichomoza na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya Gendarmerie .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents