Michezo

Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya URA

By  | 

Kuelekea mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Visiwani Zanzibar klabu ya Yanga imeanika kikosi chake kitakacho ingia Uwanjani kuvaana na wakusanya kodi wa Uganda timu ya URA.

Wakati kikosi hicho cha Jangwani kikijitupa Uwanjani mapema, kocha Mkuu wa timu hiyo George Lwandamina tayari yupo Visiwani Zanzibar akiungana natimu baada ya kukosekana kwamuda huku Yanga SC ikiongozwa na msaidizi wake Shadrack Nsajigwa.

Yanga SC italazimika kupata ushindi katika mchezo huo ili iweze kuendelea na hatua inayofuata ambako itasubiri mshindi kati ya Azam FC au Singida United.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments