Michezo

Kikosi kamili cha Simba V Azam FC hiki hapa mfumo ni 3-5-2

Kikosi cha klabu ya Simba hii leo kinatarajia kushuka dimbani majira ya saa 10:00 alasiri kuivaa Azam FC ikiwa ni mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.

Kuelekea katika mechi hiyo wekundu hao wa msimbazi wameanika kikosi chao kitakacho shuka uwanjani kuwavaa wana lamba lamba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents