Moto Hauzimwi

Kikosi kamili Yanga SC Vs St Lous FC klabu bingwa Afrika hiki hapa

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga imeweka hadharani kikosi chake kitakacho shuka dimbani hii leo kuivaa timu ya St Lous  ya Seychelles katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika.

Yanga SC ambayo inaongozwa na Kocha wake Mkuu raia wa Zambia, George Lwandamina itashuka uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuikabili timu hiyo ya St Lous ikiwa ni mchezo wa raundi ya kwanza wa Klabu bingwa barani Afrika huku mgeni rasmi katika mechi hiyo akiwa ni Mh. George Mkuchika.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW