Michezo

Kili Stars Mabingwa wa CECAFA Cup!

kaseja
Timu inayowakilisha Tanzania Bara katika michuano ya Tusker Challenge Cup 2010, Kili Stars, imeibuka washindi wa kombe hilo baada ya kuichapa Ivory Coast bao moja kwa bila.

Fainali hizo zilizopigwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ziliona Shadrack Nsajigwa wa Kili Stars akifunga bao hilo la ushindi kwa penalty katika dakika ya 31, baada ya Ivory coast kuunawa mpira.

Watanzania waliokuwa uwanjani hapo wamelipuka kwa vifijo,vuvuzela na nderemo baada ya kili stars kutwaa kombe hilo na zaidi pale ambapo walipokea hundi lao la dola elfu 30 pamoja na kombe hilo la CECAFA.

Mungu Ibariki Tanzania.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents