Michezo
Kili Stars yatinga Fainali za CECAFA
Katika tukio lililokonga nyoyo za Watanzania nchini kote, Kili stars iliichapa Uganda cranes mabao 5 kwa 4 katika dakika za majeruhi.
Tukio hilo liliinunulia kili stars tiketi ya kukutana na Ivory Coast katika fainali za kombe la chalenji cup yatakayofanyika Jumapili hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wengi wanaipa nafasi kubwa ya ushindi timu yetu hiyo kwani wameonyesha ustadi mkubwa wa soka katika michezo ya awali.
Mungu Ibariki Tanzania,
Kili Stars Iko Juu