Burudani ya Michezo Live

Killy wa kings music ataja nyimbo zake bora kwa mwaka 2019, “Alikiba anatulea kama wadogo zake, Yeye kila siku ni muziki tu” – Video

Killy wa kings music ataja nyimbo bora kwa mwaka 2019, "Alikiba anatulea kama wadogo zake " - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya Kings music iliyopo chini ya Alikiba Kilyy amefunguka kuhusiana na maisha yake ya muziki jinsi alivyopata shida kabla ya kukutana na Alikiba.

Mbali na hilo msanii huyo ametaja nyimbo zake tano bora za mwaka huu 2019, Killy pia ameeleza namna wanavyoishi Boss wao Alikiba na jinsi anavyowalea kama wadogo zake na sio watu anaofanya nao kazi.

Alikiba alivyokimbia Interview:

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW