Burudani

Kim Kardashian aamua kumwaga mchele hadharani

Kim Kardashian amethibitisha kuwa yeye na mumewe Kanye West wanatarajia kupata mtoto mwingine kutoka kwa mwanamke ambaye anadaiwa wamemlipa ili abebe ujauzito huo.

Mrembo huyo amethibitisha hilo katika jarida la The Hollywood Reporter lillilotoka Jumatano hii ya August 16, ambapo familia ya Kardashian imefanikiwa kukava kwenye jarida hilo.

“Natumaini hivyo. Kumekuwa na mambo mengi yanasemwa, Kanye na mimi hatukuthibitisha chochote. Hakika sisi tumejaribu. Tunatarajia hivyo,” amesema Kim kwenye jarida hilo.

Kim na Kanye wanadaiwa kuwa wamemlipa mwanamke huyo zaidi ya dola 4500 kwa ajili ya kubebea mimba itakayowaletea mtoto wa tatu ambaye anatarajiwa kuzaliwa Januari mwakani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents