BurudaniUncategorized

Kim Kardashian aanza kutumia nguvu kubwa kutangaza Yeezy Season 6

Kim Kardashian ameanza kuzipigia kampeni nguo za Yeezy Season 6 ambazo zinatengenezwa na mumee Kanye West.

Japo matoleo yaliyopita ya nguo hizo yalionekana kutofanya vizuri ikiwemo Yeezy Season 4, lakini Kim ameonekana kutumia nguvu kubwa kwenye mitandao yake ya kijamii kuhakikisha nguo za Yeezy Season 6 zinafika mbali zaidi.

Kim amempost picha mbalimbali ikiwemo za mwanamitindo Paris Hilton akiwa amevalia nguo hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents