Burudani

Kim Kardashian adaiwa alishiriki ‘Threesome’ miaka 11 iliyopita



Kim Kardashian hajaanza ukicheche leo sababu imebainika kuwa mpenzi huyo wa Kanye West aliwahi kushiriki kwenye tukio la ngono la watu watatu maarufu kama ‘threesome’ wakiwa wanawake wawili na mwanaume mmoja.
Muigizaji mstaafu wa filamu za ngono Julian St. Jox anadai kuwa alifanya mapenzi na wasichana wawili kwa pamoja akiwemo Kim ambaye kipindi hicho alikuwa na miaka 20 kwenye sherehe moja jijini Los Angeles September of 2001.
Muigizaji huyo ameliambia jarida la Star: “It was around 11:30 p.m. when Kim showed up with a black male.”
Kim, ambaye ana miaka 31 sasa, alikuwa ameolewa na mtayarishaji wa muziki Damon Thomas.
Julian alisema alikuwa amesindikizwa kwenye get-together na nyota mwingine filamu za ngono aitwaye Emily Ann.
“As soon as Kim walked in, everyone was looking. She wasn’t known at the time at all, not like today, but for everyone who frequented these parties, she was interesting because she was a new face,” alisema.
Inadaiwa kuwa baada ya muda Kim na mwanaume huyo waliyekuwa naye waliwakuta mastaa hao wa ngono kwenye chumba cha private na kupelekea Emily Ann na Kim kufanya mapenzi.
“She knew what she was doing. She was very responsive to me,” alikumbushia Julian.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents