Kim Kardashian akava jarida la Elle kwa mara ya kwanza mwezi April

Kim Kardashian anatarajiwa kukava jarida la Elle la Marekani mwezi April mwaka huu.

Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa mrembo huyo ambaye pia ni mama wa watoto watatu kutokea kwenye kava la mbele la jarida hilo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW