BurudaniUncategorized
Kim Kardashian akava jarida la Vogue India la mwezi March
Kim Kardashian ataonekana katika cover la jarida la Vogue la nchini India, ambalo ni toleo la mwezi Machi.
Jarida hilo limetoa kava nne za mrembo huyo ambapo bado haijafahamika ni ipi litakaloingia sokoni.