Habari

Kim Kardashian ampa paka wake jina la ‘hit single’ ya Kanye West!!

Kim akiwa amembeba “Mercy” wakati akishoot reality show yake jijini Miami

Wakati akinadada wa Kardashians wakitua jijini Miami kwaajili ya kushoot msimu mpya wa kipindi chao cha Kim & Kourtney Take Miami, Kim aliamua kuongeza kitu kipya kwenye familia yake.

Kim alitweet, “Meet Mercy”

Mrembo huyo ameamya kununua paka mdogo ambaye amempa jina la Mercy, jina la hit single la mpenzi wake Kanye West.

Kim alitweet “My new baby Mercy #TeacupPersian”
Kim hakuchelewa kuwaonesha mashabiki wake Mercy ambaye ni mwuepe kupitia Twitter.
Hapa alitweet “Sleeping Beauty”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents