Burudani

Kim Kardashian ampiku Beyonce kama staa mwenye followers wengi Instagram

Beyonce amenyang’anywa rasmi taji la staa mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram.

947065-97c54186-b323-11e4-b41b-d516c533d6a5

Kim Kardashian sasa amekuwa staa mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao huo. Staa huyo wa Keeping Up With the Kardashians na mke wa Kanye West ana followers milioni 44.1 huku Beyonce akiwa nao milioni 44.

Kim anaweza kuwa amemzidi Beyonce kwasababu hupost picha mara kwa mara na kuandika caption, kitu ambacho mwenzie hafanyi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents