BurudaniPicha

Kim Kardashian arejea tena na picha za utupu (18+)

Kim Kardashian na picha za utupu ni sawa na samaki na maji!

Wakati ambapo wanawake wengine wamesherehekea siku ya wanawake duniani kwa kuwaandika ujumbe maalum mwanawake wanaowachukulia kuwa na umuhimu mkubwa kwenye maisha yao, Kim ameitumia kuonesha umbo lake likiwa kwenye birthday suit.

Picha hiyo imekuja siku chache tu baada ya kupost nyingine kwenye Instagram na Twitter.

Cha kufurahisisha zaidi ni kuwa mume wake, Kanye West naye anamuunga mkono.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents