AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Kim Kardashian arejea tena na picha za utupu (18+)

Ustaa ni kazi kubwa sana, unaweza kufanya kitu ambacho hukutarajia kwa kawaida ikiwemo hata kupiga picha za utupu na kuziweka hadharani ili jina lako liendelee kubaki juu.

Kim Kardashian ni miongoni mwa watu wengi duniani ambaye kwa kufanya jambo hilo kawake ni rahisi tena muda wowote autakao yeye. Mrembo huyo ameachia picha za utupu kwa mara nyingine mtandaoni.

Kim amepost picha hizo ambazo ni tangazo la manukato ya KKW Fragrance ambayo yanatarajiwa kutoka April 30 ya mwaka huu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW