Burudani

Kim Kardashian kujiengua katika kipindi cha familia, na hataki North West aonekane katika kipindi hicho pia

Jitihada za Kanye West na mpenzi wake Kim Kardashian kumweka binti yao North West mbali na ‘spotlight’ zinazidi kuimarishwa na wapenzi hao ambapo sasa Kim ana mpango wa kuisaliti show ya familia KUWTK.

KIM KARDASHIAN Filming Keeping Up With The Kardashians

Keeping Up With The Kardashians (KUWTK) ni reality show ya maisha ya familia ya Kardashians lakini mashabiki wa kipindi hicho cha TV wasitarajie kumwona mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian katika kipindi hicho.

Baada ya kuwa mama Kim K sasa ameanza kukubaliana na mawazo ya mpenzi wake Kanye ya kutotaka kujihusisha na reality show ya familia yake ambapo pamoja na kutotaka kabisa North West aonekane katika show hiyo lakini na yeye ana mpango wa kujiengua kushiriki.

“Kim doesn’t want to film this show anymore. She’s changing her image and breaking away from the family, She’ll be moving into her house, but doesn’t want the cameras inside her new house.” kilisema chanzo hicho.

north
North West

Kwa mujibu wa The New York Daily News Chanzo kimoja cha karibu na familia hiyo kilisema kuwa Kim K atakapojiondoa katika kipindi hicho kilichompa umaarufu mkubwa ana mpango wa kuja na kitu kingine tofauti kitakachohusisha mambo ya fashion.

“Kim’s goal is to be transformed from a weekly magazine star to a monthly magazine star, She wants to be a fashion icon and off these weeklies that delve into her personal life. The one thing she wants more than anything is the cover of Vogue.” Kilisema Chanzo hicho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents