Burudani
Kim Kardashian: Natamani ningepiga selfie na Yesu!
Malkia wa selfie duniani, Kim Kardashian anatamani angepiga selfie na Yesu Kristo.
“My dad. Or Jesus. Or Marilyn Monroe. I can’t decide,” Kim alijibi swali la shabiki aliyemuuliza ni nani anayetamani angepiga naye picha ya selfie.
Kim yupo kwenye kampeni ya kupromote tangazo lake la T-Mobile Super Bowl kwenye mitandao ya kijamii.
Mke huyo wa Kanye West pia anatarajia kuingiza sokoni kitabu chake cha selfie.