Picha

Kimbuga kikali chaipiga Haiti na kusababisha uharibu mkubwa

Waokoaji wanahangaika kuyafikia maeneo ya Haiti yaliyoharibiwa vibaya na kimbunga kikali kilichoipiga nchi hiyo.

_91539108_mediaitem91539107

Uharibifu uliosababishwa na kimbunga hicho kilichopewa jina ‘Hurricane Matthew’ umesababisha kuahirishwa kwa uchaguzi wa rais ambao ungefanyika mwishoni mwa wiki.

_91539114_mediaitem91539113

Maelfu ya watu wamepoteza makazi yao na walau kumi wamekufa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents