Burudani

King Zila kufungua mwaka na Ali Kiba

godzila

Mfalme wa Free Style King Godzila  kutoka pande za Salasala, amesema ujio wake mpya wa 2012 anatarajia kufungua kurasa mpya na mwanamuziki Ali Kiba 4 Realy. amesema ngoma hiyo anatarajia itakuwa Hottest sana kwakuwa amekamua sana, wakati Chorus amekamatika kijana mwenye sauti ya ukweli.

Meneja na Producer  wake Marco Chali amesema kitu hicho tayari kishaiva na bado kupakuliwa kwaajili ya  kuingia mataani kuja kusumbua.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents