King98 aachia video ya wimbo I Bet (Video)

Mwanamuziki @king98official kutoka nchini Zimbabwe baada ya kukamata vichwa vya habari kwa kazi zake ambazo amewashirikisha wakali wa muuziki hapa Africa Kama @diamondplatnumz @davido na @nasty_csa Sasa amerudi ki vingine kabisa.

Safari hii @king98official amerudi na ngoma mpya kabisa ambayo ameipa jina la #IBET akiwa safari hii hajashirikisha mtu yoyote.

Ngoma hiyo ambaye imetoka Leo inapatikana kwenye digital platform zote.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW