Tupo Nawe

Kingwendu afunguka kuhusu wimbo wake na Diamond, ampa ‘Verse’ ya kuibiwa Mke, Eric Omondi (+video)

Msanii wa Vichekesho nchini Rashid Mwishe Said maarufu kama Kingwendu amefunguka mengi kuhusu ujio wa wimbo wake mpya ambao anataka kumshirikisha msanii maarufu Diamond Platnumz.

Akizungumza na Bongo5 Kingwendu amepata nafasi ya kuimba baadhi ya mashairi ambayo atampatia Diamond katika wimbo huo huku akisisitiza kinacho chelewasha kwa sasa ni wawili hao kutokuwa na nafasi.

Kingwendu pia amezungumzia baadhi ya wasanii anao wakubali katika upande wa Vichekesho huku akimtaja Mr Bean

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW