Habari

Kiongozi wa FM Academia ampiga marufuku mkewe

Rukia BrunnoMnenguaji wa bendi ya muziki wa dansi nchini FM Academia, Rukia Brunno amepigwa marufuku kuoneka tena akinengua katika maonyesho ya bendi hiyo kufuatia tabia mbaya na kashfa mbaya alizokuwa nazo.

Rukia Brunno


Mnenguaji wa bendi ya muziki wa dansi nchini FM Academia, Rukia Brunno amepigwa marufuku kuoneka tena akinengua katika maonyesho ya bendi hiyo kufuatia tabia mbaya na kashfa mbaya alizokuwa nazo.


Mwanamuziki wa bendi hiyo Nyoshi El Saadat ambae ni mume wa Rukia Bruno amesema yeye ndie aliyempiga marufuku mkewe kutokana tetesi mbaya zinazo muhusu mkewe na mara nyingine kumsoma katika magazeti akionekana kwa mabaya. Hata hivyo bibiye huyo ameonyesha kufurahishwa na maamuzi ya mumewe kwani anadai muelekeo wa hayo yote ilikuwa ni kutengana ama kuachana kabisa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents