Habari

KISARAWE: Bishara Foundation waguswa na kijana mlemavu,wampatia kiti cha kutembelea na fedha

KISARAWE: Bishara Foundation waguswa na kijana mlemavu,wampatia kiti cha kutembelea na fedha

Bishara Foundation wakiongozwa na Mwenyekiti, Nunu Rashidi, wamemsaidia mvulana mlemavu wa viungo mkazi wa Kisarawe Mkoa wa Pwani, kwa kumpatia kiti cha kutembelea (Weelchair) na kiasi cha fedha.

Kwa mujibu wa Mtanzania: Mapema leo, Oktoba 14, wakati wa kukabidhi kiti hicho kwa kijana Jafari, aliyepata ulemavu baada ya kusumbuliwa na ukungu kwenye ubongo.

“Bishara Foundation tumeguswa na Jafari tukaona tuchukue nafasi hii kumnunulia kiti kitakachomsaidia kuweza kufanya baadhi ya shughuli zake, lakini Watanzania mnatakiwa kuguswa na kumsaidia chochote ulichonacho ili aweze kupata dawa,” anasema Nunu.

Mama yake Jafari anayeitwa Zawadi Hassan anasema kuwa mwanae huyo alizaliwa akiwa mzima kabisa, lakini alikuja kupata tatizo hilo lililomsababishia ulemavu.

Anawaomba Watanzania kumsaidia kwa kuwa mume wake amemtelekeza na yeye hana kazi ya kufanya ukizingatia Jafari anahita

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents