Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Kisiwa cha Caribbean hatarini tena Jumatatu hii

Kisiwa cha Caribbean kinatarajiwa kupatwa na kipunga kingine kikubwa zaidi Jumatatu hii kinachojulikana kama Maria.

Kipunga hiko kinatajwa kuwa kitapita sehemu ambazo kimbunga cha Irma chenye ukubwa wa kiwango cha tano kilipita wiki mbili zilizopita.

Tayari tahadhari imeshatolewa katika maeneo ya kisiwa hiko ikiwemo Guadeloupe, Dominica, St Kitts, Nevis, Montserrat na Martinique.

Kisiwa cha Caribbean bado kipo kwenye majonzi makubwa kutokana na kimbunga hicho cha Irma ambacho kilitajwa kusababisha vifo vya watu 37 na kuleta hasara kubwa ya mali ikiwemo kuharibu mali za bilionea Richard Branson.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW