Burudani

Kiss Daniel kwa sasa ni kibeniten cha Chidinma

Moja ya stori kutoka kwenye industry ya burudani nchini Nigeria ni kuhusu Kiss Daniel na Chidinma.

Waimbaji hao kwa sasa wanaripotiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, kupitia Instagram Story, Kiss Daniel ameweka picha ya mrembo huyo na emoja za Love.

Muimbaji Chidinma ambaye hivi karibuni ameachia nyimbo mbili amemzidi umri Kiss Daniel kwa miaka mitatu. Chidinma kazaliwa mwaka 1991 wakati Kiss Daniel amezaliwa 1994.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents