Aisee DSTV!

Kitale aonyesha picha za mjengo wake wakifahari Kigamboni (Picha)

Msanii wa vichekesho Kitale alimaarufu kama Mkude Simba ame-share kwa mashabiki picha za njengo wake wa kifahari ambao ameujenga Kigamboni jijini Dar es salaam. Kitale ameiambia Bongo5 kwamba Filamu ya Maneno ya Kuambiwa, pamoja na dili za matangazo ndio vitu vilivyomuingizia mtonyo na kukamilisha ujenzi wa mjengo huo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW