Burudani ya Michezo Live

Kitale: Mtoto Diamond anakera sana, nimeonyesha mjengo wangu ili kufungua njia (Video)

Msanii wa muziki Kitale amefunguka mambo mengi kuhusu maisha yake pamoja na nyumba yake aliyoijenga Kigamboni jijini Dar es saam ambapo amesema sababu ya kuonyesha nyumba yake hiyo ni kutaka kuwaamsha wasanii ambao wanaona wamechelewa.

“Nimeonyesha mjengo wangu ili wale vijana wenzetu ambao tulianza nao na wao wasikate tamaa, nimewaonyesha sanaa ina hela ila tatizo sisi wasanii tukupata pesa tunajiachia sana. Ndio maana huyo mtoto Diamond kila anachokifanya anaweka kwenye mtandao, anatia hasira sana” alisema Kitale.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW