BurudaniPicha

Kiumbe Record yaingia kwenye matengenezo

Kiumbe_Reco_ujenzi_face

Studio ya Kiumbe Record hivi sasa ipo kwenye matengenezo kutoka kwenye kile ‘chumba kidogo walichokuwa wakikitumia zamani, na kuhamishia studio hiyo kwenyechumba kingine kikubwa kwaajili ya kutoa nafasi kwa wasanii wanaokuja kufanya kazi zao hapo studioni.

 

 

Kiumbe_Masoud

Producer wa studi hiyo Masoud hiyo amesema hivi sasa anahitaji chumba hicho kiwe na nafasi nzuri na kubwa, ilikuweza kufanya kazi wa hari nzuri na kuptengeneza vitu vizuri zaidi.

Kiumbe_Re
Kama kawa kama dawa mafundi bado hawajapagawa na kazi inakuwa sawa, ndivyo waklivyo wana wanavyoendelea na kazi yao hiyo ya kutengeneza studi… eti wamesema na wao wasaniii na sio mafundi pekee.
Kiumbe_Rec_majengo

Kazi ina umuhimu sana ila hata picha nayo ni muhimu kwa yukumbusho wa kazi, ikabidi wakusanyike kwaajili ya Kuwa-Photo-a…… By Mo One’s

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents