Soka saa 24!

Kiumbe yamtoa Country Boy

video_ya_Country_Boy

Kampuni ya Kiumbe Production juzi ilikuwa ikikamilisha video ya kijana mwingine mpya katika ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya, Country Boy ama ukipenda unaweza kumwita Ibrahim Materindo, katika wimbo wake ambao unaitwa Your the One.

Alisema video ya wimbo huo, wameufanya chini producer mahili toka Kiumbe, na audio ama ‘Vocal’ zimedondoshewa pale kwenye studio ya Lamer ‘Fish Crab Rec’, huku akisema video yake itakuwa funga mwaka.

 

Video_wakiwa_kwenye_vinywaji
Hapa Wakiwa na matotoz, wakipata vinywaji aka Pombe kali, aka Maji ya Dhahabu katika kushooting video hiyo.

Video_ya_Country

Watoto wazuri nao wahakukosa kuwepo kwenye kuuza sura.

Video_ya_Madada_wa_Country_boy

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW