Bongo Movie
‘Kivuli’ filamu aliyoigiza Sajuki na Wastara yaingia sokoni
Filamu aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’ leo imeingia sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na kusambazwa na kampuni ya Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na Mohammed Said.