Michezo

Klabu ya Chelsea ya msajili huyu beki wa kati kutoka New York Red Bulls ya Marekani

Klabu ya Chelsea ya Uingereza January 30 imefanya usajili wa beki wa kati Matt Miazga, baada ya kumkosa beki wa Everton John Stones imesha jaribu kuomba kumsajili kutokea klabu yake ya Everton kwa zaidi ya mara tatu licha ya kujitahidi kuongeza dau mara kadhaa lakini haikufanikiwa.

30B8F9FE00000578-0-image-a-46_1454163193869

30B90DA900000578-3424165-image-a-3_1454164450995

Chelsea imetangaza kumsajili beki huyo wa kati kutoka klabu ya New York Red Bulls ya Marekani Matt Miazga, amesaini mkataba wa miaka minne na nusu wa kuitumikia klabu ya Chelsea, Chelsea inaonekana inatafuta mrithi wa John Terry kwa miaka ya baadae.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents