Michezo

Klabu ya Jiangsu Suning ya nchini China ya msajili Mbrazili Alex Teixeira

Kiungo mshambuliaji wa Brazili na klabu ya Shakhtar Donesk ya Ukraine Alex amejiunga na klabu ya Jiangsu Suning ya huko nchini China mchezaji huyo ambaye alikuwa anawindwa na Liverpool katika dirisha dogo la mwezi Januari.

30E8257D00000578-3433303-image-a-21_1454672827783
Alex Teixiera kulia akiwa na agent wake Junior Mendonza

Taarifa za mtandao wa klabu ya Shakhtar Donesk zinasema kuwa Teixeira atajiunga na Jiangsu Suning kwa ada ya Euro milioni 38

30C6614F00000578-0-image-a-3_1454540995766

Liverpool hawana nafasi tena ya kumsajili kiungo huyo mshambuliaji ambaye pia anaweza kucheza nafasi ya winga ya kushoto na kulia

Teixeira anaungana na Mbrazili mwenzie Ramires ambaye ametimka Chelsea hivi karibuni na atakuwa chini ya meneja ambaye ni beki wa zamani wa chelsea Dan Petrescu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents