Burudani
Klynn afiwa na baba yake jana
Mwanamuziki na aaliyekuwa Miss Tanzania Klynn, amefiwa na baba yake mzazi mzee Ntuyabaliwe ambaye alifariki katika Hospitali ya Hindu Mandal. Bongo5 inampa pole na kumtakia utulivu na amani kwa wakati huu mgumu.