Michezo

Kobe Bryant atangaza kustaafu kikapu

Mchezaji nyota wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant ametangaza kuwa atastaafu baada ya kumalizika kwa msimu unaoendelea.

Toronto Raptors v Los Angeles Lakers

Akiwa na Lakers, Kobe ameisaidia kuchukua ubingwa mara tano.

Ametangaza taarifa hiyo kupitia barua aliyopa kichwa cha habari ‘Dear Basketball.’

“This season is all I have left to give. My heart can take the pounding. My mind can handle the grind but my body knows it’s time to say goodbye. And that’s OK. I’m ready to let you go,” imesomeka sehemu ya barua hiyo.

Katika historia ya kucheza mchezo huo, Bryant amefunga points 32,000.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents