Burudani ya Michezo Live

Kocha wa Yanga Luc Eymael  ”Hakuna yoyote muhimu zaidi ya timu” (+Video)

Kocha wa klabu ya Yanga, Luc Eymael akizungumza baada ya ushindi wa jumla ya mabao 2 – 0 dhidi ya TZ Prisons mchezo wa kombe la FA. Katika Mkutano na Waandishi wa Habari Mbelgiji huyo amesema kuwa lazima watu wafahamu kuwa wanatakiwa kuelekea katika muelekeo mmoja, yeye hachezi nao bali na timu yake kwakuwa hakuna mtu yoyote muhimu zaidi ya timu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW