Michezo
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Italia Cesare Maldini afariki dunia
Beki wa zamani wa AC Milan na kocha wa timu ya taifa ya Italia, Cesare Maldini amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.
Maldini ambaye ni baba wa beki wa zamani wa AC Milan, Paolo Maldini alianza kuitumikia timu hiyo kuanzia mwaka 1954 hadi 1966.