Burudani

Kodak Black akamatwa huku akiwa Live kwenye Instagram

Rapa kutoka marekani anayefahamika kwa jina la Kodak Black lakini jina halisi ni Dieuson Octave amekamatwa. Kodak alikamatwa na manaibu wa Ofisi ya polisi dakika kadhaa wakati akiwa kwenye Instagram Live. Polisi walikuwa na kibali cha kukaguwa nyumba ya Kodak Black hivyo waliingia na kuchukua kompyuta,simu za mkononi na vitu vingi kutoka nyumbani kwake.

Kwa mujibu wa habari za hivi punde ni kwamba rapa huho mwenye umri wa miaka 20 anakabiliwa na mashtaka ya wizi mkubwa wa silaha na kosa la kumiliki silaha hatari bila ya kibali.

Video hii hapa chini alivyo kuwa Live kwenye mtandao wa instagram

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents