Habari

Koketso wa Afrika Kusini kuhudhuria Eviction Party ya LK4 nchini Uganda?

Well well well, baada ya kutolewa katika BBA ‘The Chase’ inavyoonekana mapenzi yanazidi kuchanua kwa love birds LK4 wa Uganda na Koketso wa Afrika Kusini. LK4 ametangaza ujio wa Eviction Part yake na juu ya mgeni wake rasmi ambaye ‘anaweza’ kuhudhuria nchini Uganda.

Lk 4 & Koketso...

Kwa mujibu wa mtandao wa Uganda online aliyekuwa mshiriki wa Uganda katika BBA ya mwaka huu Isaac Lugudde aka LK4 tayari amerudi nyumbani UG na kama mambo yataenda kama yalivyopangwa Koketso anatarajiwa kutua nchini humo kama special guest wa LK4 katika party hiyo kwa mujibu wa tweet ya LK4.

LK4 aliandika “Africa, eviction party has not been thrown yet, I will inform you on the location and the special guest of mine that may attend.” Ni nani zaidi ya Koketso mpenzi wake wa BBA ‘The Chase’?.

LK4 ameonekana kuwa na mapenzi makubwa na South Africa huenda sababu ya Koketso pia, ameandika tweet kadhaa zinazoashiria hivyo “This is probably the saddest day since my existence. I love South Africa and u treated me well. Koke, I’m missing you already and hurting. I will find you wherever you are and I pray Africa will witness the journey back to you as they witnessed the beginning”. Time will tell.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents