Michezo

Kombe la Dunia: Nigeria yarudisha matumaini ya Afrika kwa kuingia hatua ya 16

Nigeria jana imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kuingia hatua ya 16 ya kombe la dunia licha ya kufungwa 3-2 na Argentina kwenye uwanja wa Beira-Rio huko Porto Alegre.

Nigeria v Argentina: Group F - 2014 FIFA World Cup Brazil

Nigeria, ambao wameingia hatua hiyo ya mtaono kwa mara ya kwanza tangu 1998, watakutana na Ufaransa Jumatatu ijayo. Unahisi Nigeria wanaweza kufika fainali?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents