Habari

Korea Kusini wamchagua Rais wao

Raia wa Korea Kusini siku ya leo wanapiga kura kumchagua Rais mpya ambaye atachukua nafasi ya Park Geun-Hye, aliyepatikana na makosa ya kushtakiwa kwa madai ya ulaghai.

Moon Jae-in wa chama cha Liberal, amesema kuwa angependa kuimarisha uhusiano na Korea Kaskazini. Ahn Cheol-soo akiwa mpinzani mkubwa kwa Moon Jae-in, yeye anapingan na Bwana Moon.

Uchaguzi huo wa Korea Kaskazini, unaangaliwa wakati nchi hiyo ikiwa kwenye tatizo la kiuchumi .

Uchaguzi huo unakadiriwa kuwa na idadi kubwa ya watu watakaojitokeza,huku idadi kuwa ikitarajiwa kuwa vijana ambao watachagua rais kati ya wagombea 13.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents