Burudani

Kourtney kupata mpezi mpya!

Huenda upweke wa Kourtney ndio umeilazimu famila yake ya Kardashian kufikiria kumtafutia mpenzi mpya dada yao huyo.

Kourtney aliavchana na mumewe Scott tangu mwkaa jana mwishoni lakini jambo hilo lilifanywa siri mpaka pale lilipojulikana wiki chache zilizopita.

Kupitia kipindi cha runinga cha ‘Keeping Up With the Kardashians’, Kim na Khloe Kardashian wameonekana kuumizwa na upweke wa dada yao huyo ndipo walipoamua kuingia mitandanio kwa ajili ya kutafuta mpenzi kwa niaba ya Kourtney.

Wakati wa chakula cha mchana katika kipindi hicho, wawili hao [Kim na Khloe Kardashian] walimwambia Kourtney, “Tunajua unapenda sana shamba, tumeamua kukuunganisha katika mtando wa mahusiano wa wakulima ambao utaweza kupata mpezi mpya ila ni mkulima.” Hata hivyo Kourty alikataa kwa kuwaambia kuwa hawajui anachokitaka na hawafahamu ni nini anachotaka.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents