Awards

KTMA, kazi imeanza

Nominees wanaowania Tuzo za Muziki Tanzania (KTMA) wapo wazi, tofauti na miaka mingine, awamu hii imekuwa ni uteuzi wenye akili kwa sababu walioshindanishwa ni wale ambao walifanya vizuri mwaka 2009 bila zengwe.

Big Up One Plus Communications, Digital Arts na wadhamini Kilimanjaro kwa kuleta mabadiliko makubwa.

Bofya hapa kupata list kamili ya mastaa wote wanaowania tuzo kwa mwaka 2009-2010.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents