Michezo

Kubwa Kuliko ya Yanga: Rais mstaafu Dkt.Kikwete afunguka haya, Mwigulu awazawadia Yanga mchezaji tena, wachezaji wapya watambulishwa (+ Video)

Kubwa Kuliko ya Yanga: Rais mstaafu Dkt.Kikwete afunguka haya, Mwigulu Nchemba awazawadia Yanga mchezaji tena (+ Video)

Katika tukio la klabu ya Yanga la uchangiaji ambalo linafanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee wamehudhuria viongozi, wanachama na wadau mbalimbali wa soka hapa nchini, tukio ambalo linahusisha uchangiaji kwa kalbu hiyo inayotoka mitaa ya Jangwani.

Katika tukio hilo ambalomgeni rasmi ni Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kasimu Majaliwa, mpaka sasa wamongea viongozi mbalimbali lakini pia Yanga wameweza kuwatambulisha wachezaji  wao wapya.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents