Michezo

Kuelekea mchezo wa fainali ya kombe la Ligi UK Kolo Toure amuonya Yaya Toure

Mchezaji Kolo Toure ambaye ni mchezaji wa Manchester City atakabiliana na nduguye Yaya Toure wakati ambapo Liverpool itakutana na Manchester City katika fainali ya kombe la Ligi ya Uingereza siku ya jumapili katika uwanja wa Wembley.

Yaya-Toure-Kolo-Toure

Kolo Toure ambaye ni beki wa Liverpool anasema kuwa atatumia kila njia kuhakikisha kuwa ndugu yake huyo hapati bao

‘Ananijua mie kwamba naweza kutumia kila njia kumzuia asifunge bao”,alisema Kolo Toure ambaye ni ndugu mkubwa wa Yaya Toure.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents